IST will be a global leader in the education of internationally-mobile young people.
All students, regardless of their starting point, will think critically, achieve academically and develop the wisdom to make good choices. They will show curiosity and creativity in addressing authentic problems, local and global.
They will pursue their varied passions with enthusiasm, developing resilience, perseverance and confidence. Understanding the diversity of people and cultures, they will act kindly, fairly and responsibly.
All members of the IST community will work together to fulfil this Vision.
IST itakuwa ni kiongozi katika kutoa elimu ya kimataifa ya vijana wanaozunguka kimataifa.
Wanafunzi wote, bila kujali hatua yao ya kuanzia, watafikiri kwa kina, kufaulu kimasomo na kuendeleza hekima ya kufanya maamuzi mazuri. Wataonyesha udadisi na ubunifu katika kushughulikia matatizo halisi, ndani ya nchi na kimataifa.
Watafuata mielekeo mbalimbali wanayotamani kwa shauku, na kuendeleza ujasiri, uvumilivu na kujiamini. Kuelewa tofauti za watu na tamaduni, watafanya kazi kwa wema, haki na uwajibikaji.
Wanachama wote wa jumuiya ya IST watafanya kazi kwa pamoja ili kutimiza Dira ya IST.